Migogoro 60 yapatiwa ufumbuzi Samia Ardhi Kliniki

KIGOMA: MIGOGORO 60 ya Ardhi imetatuliwa katika siku tatu za mpango wa kusikiliza malalamiko ya ardhi maarufu kama ‘Samia Ardhi Kliniki’ katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwani sehemu ya maadhimisho kuekelea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani. Mkuu wa Wilaya Kigoma, Dk Rashid Chuachua amesema hayo katika uwanja wa Kawawa Ujiji Mjini Kigoma ambako kliniki … The post Migogoro 60 yapatiwa ufumbuzi Samia Ardhi Kliniki first appeared on HabariLeo .