Simulizi za wazazi malezi ya watoto njiti

Kwa wazazi wa watoto njiti, kila pumzi ya mtoto ni ushindi na kila usiku wa hofu ni hatua nyingine kuelekea kwenye mwanga wa kesho.