Kihongosi: Tunzeni miradi ya maendeleo

SHINYANGA: KATIBU Wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kutunza miundombinu na miradi ya maendeleo inayojengwa kwani ni urithi wao. Kihongosi ameeleza hayo leo Machi 5,2026 alitembelea katika mradi wa ujenzi wa daraja la Ubagwe lililopo katika barabara ya mto Mwabomba-Igombe yenye urefu wa mita 60 … The post Kihongosi: Tunzeni miradi ya maendeleo first appeared on HabariLeo .