Unataka kulipiwa mahari? Soma masharti ya Sheikh Kishki

Kama Machi Mosi, 2026 ulisikia tangazo la kulipiwa mahari na umejipanga na mwenza wako, basi huna budi kufahamu masharti 10 yaliyotangazwa na Taasisi ya Al-Hikma ili kutimiza kigezo cha kufanikisha mchakato huo.