Othman: Itumieni Ramadhani kuombea haki, utengamano wa Taifa

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amewahimiza Watanzania na waumini wa Kiislamu kuzidisha maombi na ibada ndani ya mwezi wa Ramadhani ili Taifa lirudi katika hali ya haki na utengamano, baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu.