Serikali yazungumzia ushirikiano na sekta binafsi

FISI ya Msajili wa Hazina (OMH) imesema serikali iliamua kushirikiana na sekta binafsi katika uendeshaji wa baadhi ya mashirika ili kuongeza ufanisi, mtaji na matumizi ya teknolojia katika kuendeleza uchumi wa nchi. Mkurugenzi wa Usimamizi wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Mashirika ya Kibiashara kutoka OMH, Lightness Mauki, amesema kuwa ushirikiano huo ni sehemu ya … The post Serikali yazungumzia ushirikiano na sekta binafsi first appeared on HabariLeo .