Başlıksız Haber

DAR ES SALAAM :Sekta ya huduma imetajwa kuwa nguzo muhimu ya kukuza uchumi ndani ya Tanzania na Ukanda wa nchi wanachama wa SADC ambapo maboresho ya sera ni lazima ili kuondoa vikwazo vya kibiashara,hatua ambazo zinalenga kuongeza ushindani wa kikanda nili kunufaika na fursa za itifaki ya huduma ya SADC. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu … The post first appeared on HabariLeo .