Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, ametumia zaidi ya saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi, akijikuta kwenye wakati mgumu kutokana na zomea-zomea la wananchi.