Wananchi wa kata ya Ulowa na Ubangwe wameeleza changamoto waliyoipitia kuvuka mto Igombe ikiwamo ndugu zao kupoteza maisha sambamba na kuwasababishia umaskini.