Wadau wakiwamo wanawake zaidi ya 400 kutoka sekta mbalimbali nchini, wanatarajiwa kushiriki katika Jukwaa la Sita la The Citizen Rising Woman Initiative (RWI) linalofanyika kesho Ijumaa Machi 6, 2026 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.