KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said, amesema jumla ya wanufaika 41,000 kutoka makundi mbalimbali ya kijamii wanatarajiwa kunufaika na Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia (PAMOJA) unaotekelezwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. The post Wanufaika 41,000 kunufaika na mradi wa PAMOJA Zanzibar first appeared on HabariLeo .