SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati ya kuimarisha usafiri wa anga ikiwamo kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Pemba. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amesema hayo wakati akitoa taarifa kuhusu mafanikio ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi katika siku 100 madarakani juzi. The post SMZ kuboresha usafiri wa anga first appeared on HabariLeo .