Dk Gwajima ataka wanawake kutumia nishati safi kupikia

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia umeme ili kulinda afya za familia, mazingira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika jamii. The post Dk Gwajima ataka wanawake kutumia nishati safi kupikia first appeared on HabariLeo .