Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi imetoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Nyankumbu, ili kuwasaidia kukabiliana na changamoto za hedhi wanapokuwa shuleni. Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi msaada huo, Meneja wa Benki ya CRDB […] The post WANAFUNZI NYANKUMBU WAPATIWA MSAADA WA TAULO ZA KIKE KUTOKA CRDB appeared first on Jambo TV Online .