WANAWAKE SENGEREMA WAFUNGUKA KUHUSU HAKI NA USAWA

Wanawake Wilayani Sengerema mkoani Mwanza wameeleza kuwa kufikia haki na usawa wa kijinsia bado ni safari ndefu, wakisema uhalisia wa mfumo wa kijamii unaendelea kumpa nafasi kubwa mwanaume katika maamuzi ya familia na jamii. Wakizungumza na Jambo TV katika mahojiano maalumu kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, baadhi ya wanawake hao wamesema […] The post WANAWAKE SENGEREMA WAFUNGUKA KUHUSU HAKI NA USAWA appeared first on Jambo TV Online .