PPRA, NMB WAZINDUA HUDUMA YA UHAKIKI WA DHAMANA ZA ZABUNI KUPITIA NeST

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa kushirikiana na Benki ya NMB, wamezindua rasmi huduma ya uhakiki wa dhamana za zabuni za kibenki kutoka Benki ya NMB kupitia Mfumo wa NeST. Hatua hii inatarajiwa kuongeza uwazi, kasi na usalama katika michakato ya zabuni za umma. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika Machi […] The post PPRA, NMB WAZINDUA HUDUMA YA UHAKIKI WA DHAMANA ZA ZABUNI KUPITIA NeST appeared first on Jambo TV Online .