HANDENI, Tanga; Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza biashara na kujikwamua kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zinazopatikana mtandaoni. Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese amesema hayo wakati akizindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika kongamano la wanawake lililofanyika mjini Handeni. … The post Wanawake Handeni Mji wafundwa teknolojia kiuchumi first appeared on HabariLeo .