Harusi ilisimama ghafla!” Mpenzi wa zamani aingia ukumbini na mtoto mkononi, wageni wabaki midomo wazi

Kulikuwa na shamrashamra, muziki wa bendi na harufu ya chakula kizuri katika ukumbi mmoja wa harusi mjini Thika hadi pale tukio lisilotarajiwa lilipotokea na kubadilisha kila kitu ndani ya dakika chache. Harusi iliyokuwa imepangwa kwa miezi kadhaa ilisimama ghafla baada ya mwanamke mmoja kuingia ndani ya ukumbi akiwa amembeba mtoto na kudai kuwa bwana harusi […] The post Harusi ilisimama ghafla!” Mpenzi wa zamani aingia ukumbini na mtoto mkononi, wageni wabaki midomo wazi appeared first on Jambo TV Online .