Mbaroni akidaiwa kumuua mtoto mchanga baada ya kujifungua

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji, akiwemo mwanamke anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga baada ya kujifungua.