Alipoajiriwa kuwa mwalimu wa sekondari mwaka 2013 katika Shule ya Sekondari Mwatulole, mkoani Geita, aliamini ndoto yake ya kuajiriwa serikalini imeanza kutimia.