Mkandarasi aelekezwa kuongeza kasi ujenzi stendi

SINYANGA: MKANDARASI aliyepewa kazi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya Katunda mkoani shinyanga ameelekezwa kuongeza kasi ya utekelezaji ili mradi uweze kukamilika na kutoa hudu kwa wakati. Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi an Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCMA, Kenani Kihongosi ametoa agizo hilo leo Machi 6,2026 alipotembelea na … The post Mkandarasi aelekezwa kuongeza kasi ujenzi stendi first appeared on HabariLeo .