Mkutano wa 25 wa dharura wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utakaofanyika kesho Machi 7, 2026, pamoja na mambo mengine, unatarajiwa kuja na jina la Katibu Mkuu mpya atakayeongoza Sekretarieti ya EAC kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.