UMEME WA GRIDI KIGOMA UMEOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO –MHE. SALOME

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kusimamia na kukamilisha mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma na hivyo kuokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila mwaka kwa ajili ya ununuzi wa mafuta na matengenezo ya vipuri vya majenereta ya kuzalisha umeme. Mhe. Salome ametoa pongezi […] The post UMEME WA GRIDI KIGOMA UMEOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO –MHE. SALOME appeared first on Jambo TV Online .