RC Mara ashusha zigo la elimu ya udumavu kwa wahudumu wa afya
Wakurugenzi wa halmashauri tisa za wilaya mkoani Mara, wametakiwa kutenga bajeti ya kuwezesha angalau wahudumu wawili wa afya ngazi ya jamii katika kila kijiji na mtaa, hatua inayolenga kuimarisha utoaji wa elimu ya afya na lishe bora kwa wananchi.