SERIKALI ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha Mkoa wa Shinyanga unakuwa kitovu cha uchumi katika Kanda ya Ziwa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo leo Machi 6,2026 alipokuwa akikagua mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege … The post Shinyanya kuwa kitovu uchumi kanda ya ziwa first appeared on HabariLeo .