Tanzania yaamriwa iruhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imebaini kuwepo kwa upungufu katika Katiba ya Tanzania unaozuia kupingwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais mahakamani, ikisema kifungu kinachokataza hatua hiyo kinakiuka haki za binadamu.