Kanuni ya siku 90 inavyoweza kubadilisha tabia

Wataalamu wa saikolojia duniani wametengeneza ‘Kanuni ya siku 90’ kama mhimili wa mabadiliko ya tabia ya mtu, endapo jambo litafanyika kwa siku hizo mfululizo, inakuwa tabia.