Waandishi wa habari wanolewa kuhusu Dira 2050

Wanahabari wametakiwa kuwa daraja la kuifikisha kwa umma mikakati na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuhakikisha kunakuwepo uelewa wa pamoja utakaowezesha ustawi wa pamoja wa Taifa kwa kipindi cha miaka 25 ijayo. Wito huo umetolewa na Mgeni Rasmi, Tausi M. Kida, ambaye ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, …