KCB Bank Tanzania imefanya hafla maalumu ya Iftar katika hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, ikilenga kuimarisha mshikamano na wateja wake pamoja na wadau wa maendeleo katika msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hafla hiyo imehudhuriwa na Mgeni Rasmi, Dkt. Juma Malik Akil, Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akizungumza …