‘Vyombo vya ulinzi na usalama viheshimiwe’

SHINYANGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCMA), Kenani Kihongosi amewataka wananchi kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama, kwani wamekula kiapo cha kulilinda taifa hadi kufa. Kihongosi ameeleza hayo Machi 6,2026 jioni wakati akizungumza na wananchi katika viwanja vya shule ya Msingi Town Halmashauri ya Shinyanga Mjini mkoani Shinyanga, ikiwa … The post ‘Vyombo vya ulinzi na usalama viheshimiwe’ first appeared on HabariLeo .