Wadau wa maendeleo wamepongezwa kuendelea kuunga jitihada mbalimbali za kunyenyua mwanamke kiuchumi katika wilaya ya Mbeya Vijijini. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa halmashauri ya Mbeya Vijijini, Aida Haule wakati wa wiki ya maadhimisho ya wanawake duniani katika wilaya hiyo ambapo amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo amewaasa kuchangamkia fursa zinazotolewa na wadau pamoja na serikali […] The post WANAWAKE WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI. appeared first on Jambo TV Online .