Baadhi ya wajumbe wa kamati ya chakula katika Shule ya Msingi Likuyufusi iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanadaiwa kuuza magunia 53 ya mahindi yaliyokuwa yamechangwa na wazazi kwa ajili ya chakula cha wanafunzi wa shule hiyo. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, alisema alifika shuleni hapo kufuatia kupokea […] The post WAJUMBE KAMATI YA CHAKULA WAIBA GUNIA 53 YA MAHINDI KWA AJILI YA CHAKULA CHA WANAFUNZI SONGEA appeared first on Jambo TV Online .