IRINGA: Wakati jitihada za kupinga ukatili wa kijinsia zikiendelea nchini, wadau wa maendeleo wanaendelea kuhamasisha jamii kuongeza uelewa na kuchukua hatua za kukomesha vitendo hivyo vinavyoathiri zaidi wanawake na wasichana. Katika kuunga mkono juhudi hizo, Shirika la TAHEA Tanzania kupitia Mradi wa REST limeendesha mdahalo wa wazi kwa wananchi wa Kata ya Mseke, Wilaya ya … The post TAHEA yahamasisha jamii Iringa kupinga ukatili wa kijinsia first appeared on HabariLeo .