Dar yaomba bajeti Sh bil 992 miradi, mishahara

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo unaomba kuidhinishiwa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2027 yenye jumla ya Sh bilioni 992 na milioni 601 kwa ajili ya kugharamia shughuli mbalimbali za maendeleo pamoja na mishahara ya watumishi. Akizungumza jana jijini humo katika kikao cha RCC, Chalamila amewashukuru … The post Dar yaomba bajeti Sh bil 992 miradi, mishahara first appeared on HabariLeo .