KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao mapema, hususan kwa magonjwa yanayoathiri zaidi kundi hilo kama saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti. The post Wanawake wahimizwa kupima afya mapema first appeared on HabariLeo .