TBS yaanza ujenzi wa maabara Kanda ya Kaskazini

Amesema shirika hilo tangu limefungua ofisi ya Kanda ya Kaskazini mwaka 2016 hadi sasa limeweza kuthibitisha ubora wa bidhaa kwa kutoa leseni 492, zikiwemo za wafanyabiashara wakubwa 254 na wafanyabiashara wadogo 238.