Ziara ya Kihongosi Shinyanga yaacha neema kwa binti aliyekosa ada

Mama huyo alisema binti yake alimaliza kidato cha sita na alitakiwa kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kwa kuwa wazazi wake hawana uwezo wa kumsomesha.