Bei ya kakao yaishtua Serikali, yaita wadau

Wadau na wakulima wa zao hilo pia wametoa ushauri wa hatua za moja kwa moja zinazoweza kusaidia kulinda thamani ya kakao kwa manufaa ya wakulima na Taifa kwa ujumla.