MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa tuhuma za kumpiga mlinzi wa chuo hicho na kumng’oa meno manne. The post Wanachuo 17 mbaroni kumng’oa meno mlinzi first appeared on HabariLeo .