Museveni ateuliwa Mwenyekiti EAC

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi wa jumuiya hiyo. The post Museveni ateuliwa Mwenyekiti EAC first appeared on HabariLeo .