MASWA: WANANCHI wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kutumia fursa zinazopatikana kwatika mkoa huo ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwao binafsi na taifa kwa ujumla. Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ameeleza hayo leo Machi 7,2026 katika kikao cha Shina namba mbili Kijiji cha Njiapanda Kata … The post Wananchi Simiyu wakumbushwa fursa first appeared on HabariLeo .