CCM yagusia zao la pamba

MASWA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuisimamia na kusisitiza serikali kuhakikisha bei ya pamba inamnufaisha mkulima. Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ameeleza hayo leo Maci 7,2026 alipotembelea mradi wa shamba la pamba lililopo katika  Kijiji cha Mwantumbe Kata Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu. Kihongosi amesema Mkoa … The post CCM yagusia zao la pamba first appeared on HabariLeo .