BUWASA yawakumbuka wenye uhitaji

BUKOBA: MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) imetoa msaada na vifaa vya shule katika kituo cha watoto wenye uhitaji cha Tumaini Children Center kilichopo mtaa wa Kyakairwabwa, kata ya Nyanga, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Ofisa Uhusiano wa BUWASA, Juliethi Shangali amesema wafayakazi wanawake wa taasisi hiyo na wadau wa maji wameona … The post BUWASA yawakumbuka wenye uhitaji first appeared on HabariLeo .