Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, wanawake wa Bodi ya Maji Bonde la Wami–Ruvu leo Machi 7, 2026 wameshiriki katika zoezi la upandaji miti katika chanzo cha maji cha Mto Mlali kilichopo mkoani Morogoro. Katika zoezi hilo, zaidi ya miti 500 ikiwemo ya mikarafuu na michai ya chai imepandwa […] The post WANAWAKE WAMI/RUVU WAONGOZA KAMPENI YA UHIFADHI WA MAZINGIRA MORO appeared first on Jambo TV Online .