WAKATI wa maji kupwa katika ufukwe wa Zanzibar, wanawake huingia taratibu ndani ya maji ya joto ya Bahari ya Hindi, wakifunga vipande vidogo vya mwani kwenye kamba zilizofungwa kati ya vigingi vya mbao. Kwa familia nyingi visiwani, kazi hii tulivu lakini yenye kutumia nguvu nyingi siyo tu njia ya kujipatia kipato bali ni mhimili wa maisha ya kila siku ya familia. The post Taasisi ya Mariam Mwinyi inavyobadilisha maisha Zanzibar first appeared on HabariLeo .