Wanawake wahamasishwa kujijenga kiuchumi na kujiamini

Ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wananchi wametakiwa kutambua na kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili wanawake na watoto wa kike ikiwemo ukatili wa kijinsia, ukosefu wa fursa za kiuchumi pamoja na changamoto za elimu. Hayo yamejadiliwa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kiwilaya yamefanyika mwishoni mwa juma katika viwanja vya …