NDEJEMBI ATOA SIKU 14 KWA MKANDARASI KUREJEA MRADI WA UMEME SONGEA – MAHUMBIKA

Na Mwandishi Wetu, Tunduru Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amempa siku 14 mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Mahumbika kupitia Tunduru na Masasi kurejea eneo la mradi na kuendelea na kazi mara moja. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi […] The post NDEJEMBI ATOA SIKU 14 KWA MKANDARASI KUREJEA MRADI WA UMEME SONGEA – MAHUMBIKA appeared first on Jambo TV Online .