MOROGORO; MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Omari Mahita (kulia), akiwa na Diwani wa Kata ya Kariakoo Dar es Salaam na msemaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Haji Manara, wakati wa dua maalumu na futari ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya IGP Mahita, ambaye ametimiza umri wa … The post IGP mstaafu Mahita atimiza miaka 80 first appeared on HabariLeo .