Makundi yanayoendelea kukigawa Chama cha Wananchi (CUF) yameibuka tena, baada ya mwenyekiti mpya wa chama hicho, Mirambo Yusuf, kukosa mapokezi alipowasili Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma katika ziara yake ya kujitambulisha kwa wanachama na viongozi wa chama.