Wataalamu wa malezi na makuzi ya watoto mkoani Tanga wametahadharisha kuwa kuwanyima watoto haki zao za msingi za kucheza, kupumzika na kukua katika mazingira salama na yenye afya kunahatarisha maendeleo yao ya kimwili na kiakili.